Muigizaji anayeingiza mkwanja mrefu kwa sasa duniani, The Rock ametoa
shavu nono kwa rapper wa kike kutoka Kenya, Stella Mwangi a.k.a STL kwa
kutumia ngoma yake ya No Games kama soundtrack ya episode mpya ya
Ballers HBO.
The Rock amethibitisha taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika “Oh Lord look what I got though
No Dwayne but I Rock though! Shout to bad ass rapper @stellamwangi for the dope lyrics – clearly I’m biased“.
Episode
hiyo tayari imeanza kuoneshwa kupitia Cable ya HBO na bado
haijajulikana ni kiasi gani amelipwa kwenye mkataba wake, itazame ngoma
hiyo hapa chini<iframe width="708" height="398" src="https://www.youtube.com/embed/7woNmkDzTf8" frameborder="0" allow="autoplay; encrypted-media" allowfullscreen></iframe>
TAJIWIDI
POWER RADIO
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)